Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi mpya wa muungano wa Social Democrats bungeni, Lars Klingbeil ametoa wito wa mazungumzo ya dhati na Friedrich Merz kuhusiana na mchakato wa kuunda serikali ya muungano na chama cha Christian Democrats, CDU / Karibu watu 46 wamekufa baada ya ndege ya kijeshi ya Sudan kuanguka jana Jumanne katika mji wa Omdurman