Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Iran inapinga fikra ya kurefushwa muda wa azimio la Umoja wa Mataifa la mkataba wa Nyuklia wa 2015 / Joseph Kabila amefunguliwa mashitaka kwenye Mahakama ya Kijeshi huko Kinshasa, bila yeye kuwepo akikabiliwa na mashitaka makubwa ikiwemo uhaini, mauaji ya makusudi na mateso.