Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mikuu nchini Kenya kukumbuka tukio la Juni 25 mwaka uliopita ambapo wenzao 60 waliuawa na polisi wakati wa maandamano / Rais Donald Trump ametetea mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran yaliyofanyika wiki hii