Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari Tanzania(JAB), imeanza kutimiza sheria ya kuwatoa kwenye mfumo wa habari, wale wote waliokosa sifa ama vigezo vya kufanya kazi za uanahabari nchini Tanzania// Meli ya mizigo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo – DRC imeungua kwa moto ikiwa kwenye maegesho katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.