Ripoti mpya iliyotolewa na Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji kazi wa Polisi (IPOA) imebainisha kuwa watu 65 walikufa wakati wa maandamano ya hivi karibuni nchini Kenya, kutokana na matumizi ya nguvu ya maafisa wa polisi// Rais wa Marekani Donald Trump anakabiliwa na changamoto kubwa na ukosoaji kutokana na kesi ya ngono iliyomkabili Jeffrey Epstein aliyejiua jela.