Rais wa Marekani Donald Trump atangaza kuwa Israel na Iran zimeafikiana kusitisha kabisa mapigano. Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zaahidi kuongeza matumizi yao ya kijeshi ili kuiimarisha ulinzi wa Ulaya. Kiongozi wa Kijeshi wa Mali Assimi Goita afanya ziara Moscow na kukutana na rais Putin.