Miili sita yapatikana, na mingine zaidi ya 100 ikiwa haijulikani ilipo katika maporomoko ya ardhi nchini China, Wakaazi zaidi waondolewa kwenye majengo ya ghrofa mjini London kutokana na hofu ya moto na Emirati na mataifa mengine ya kiarabu yasema hawailazimishi Qatar kukubali masharti yao.