Maelfu ya watu kuendelea kutoa heshima zao za mwisho kwa Papa Francis hii leo++Serikali ya Kongo na M23 zatoa ahadi ya pamoja ya kusitisha mapigano++ na Rais Donald Trump wa Marekani amtupia lawama rais wa Ukraine kwa kukataa kukubali kulipoteza eneo la Crimea ili kumaliza vita.