Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, aliyeaga dunia Jumatatu wiki hii akiwa na umri wa miaka 88++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, miezi miwili baada ya mji wa Bukavu kutekwa na muungano wa waasi wa M23/AFC katika jimbo la Kivu kusini, wakazi wa mji huo wanapitia hali ngumu.