Waasi wa M23 wameendelea kuushikilia mji wa mashariki mwa Kongo wa Walikale// Kauli ya Katibu NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, CCM nchini Tanzania, Amos Makalla, akikishutumu chama kikuu cha upinzani, CHADEMA imezua taharuki miongoni mwa wadau wa siasa na wananchi katika taifa hilo la Afrika Mashariki.