Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutuma salamu zao za pongezi kwa Friedrich Merz anayetarajiwa kuwa kansela wa Ujerumani+++Umoja wa Ulaya umekubaliana kuiweka vikwazo zaidi Urusi na kuendelea kuiunga mkono Ukraine katika kupambana na uvamizi wake ikiwa ni miaka mitatu hii leo tangu kuanza kwa vita hivyo.