Muungano wa vyama vya CDU na CSU umeshinda uchaguzi, huku chama cha Kansela Olaf Scholz cha Social Democratic SPD, kikishindwa vibaya+++Hali ya afya ya kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis imeendelea kuwa mbaya na kuibua hofu kwa waumini wa kanisa hilo ulimwenguni.