Rais wa Marekani Donald Trump amewahutubia viongozi mbalimbali wa dunia wanaohudhuria Kongamano la Uchumi la Dunia linalofanyika huko Davos nchini Uswisi+++Takribani miezi mitano imepita tangu kuanza kwa shughuli za usafirishaji abiria katika treni ya mwendo kasi ya umeme nchini Tanzania licha ya changamoto kadhaa zinazokabili treni hiyo ya kisasa.