Zaidi ya mashirika 100 ya misaada ya haki za binaadamu yameonya dhidi ya kile wanachosema ni mauaji ya halaiki yanayotokana na njaa yanayosambaa kwenye Ukanda wa Gaza// Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, imeanza kuwaondoa kutoka kwenye vyombo vya habari wale waliokosa sifa ikiwamo kiwango cha elimu kilichowekwa kisheria.