Denmark imeandaa mkutano muhimu kuhusu uhamiaji unaolenga kushughulikia changamoto za wakimbizi na wahamiaji barani Ulaya// Marekani inazidi kushikilia msimamo wake wa kujilinda dhidi ya washindani wake wa kibiashara// Serikali ya Tanzania, imeanza kutumia teknolojia ya droni na vyombo maalum vya ufuatiliaji wa shughuli za uvuvi na wavuvi katika kudhibiti uvuvi haramu.