Karibu usikilize taarifa ya habari ya asubuhi hii ya leo. Miongoni mwa nyingine ni Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aondolewa kinga ya kutoshitakiwa | Mwanasiasa wa nchini Kenya Martha Karua alezea wasiwasi wa kuminywa kwa uhuru wa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki | Mawaziri wa Fedha wa G7 waahidi kuondoa ukosefu wa usawa wa kiuchumi ulimwenguni