Matangazo
Waumini wa dini ya Kikristo kote duniani wanaendelea na ibada ya kumuombea aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis/ Rais wa Mamlaka ya ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amelitaka kundi la wanamgamo wa Hamas kuwaachilia mara moja mateka wa Israel inayowashikilia Gaza