Shirika la afya duniani WHO lasema vituo vyake vimeshambuliwa katika Ukanda wa Gaza. Mjumbe maalumu wa Marekani kwa ajili ya Syria Tom Barrack asema kuwapokonya silaha Hezbollah ni suala la ndani la Lebanon. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi asema Iran haitawachana na urutubishaji madini ya urani.