Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ujerumani imejitenga na tamko kali la nchi za Magharibi kuhusu "mauaji ya kinyama" ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza / Habari mpya zinazidi kuibuka kuhusu hatma ya maziko ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, huku bado kukiwa na sintofahamu juu ya lini atazikwa rasmi