Mkuu wa jeshi la Sudan akataa kuzungumza na wanamgambo wa RSF hadi wajisalimishe. Ufaransa yapinga kauli ya Waziri wa Ulinzi wa Israel ya kutaka kuyatwaa maeneo kadhaa ya Gaza. Umoja wa Mataifa umesema vita vya mashariki mwa Kongo vimesababisha watu laki moja kukimbilia nchi jirani.