Jeshi la Sudan lafanikiwa kuchukua udhibiti wa makao makuu ya benki kuu ya nchi hiyo++Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa watoa wito wa kurejea kwenye mpango wa usitishwaji mapigano huko Gaza++Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa makombora usiku wa kuamkia leo