Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari asubuhi ya leo. Miongoni mwa nyingine ni Mkutano wa Riyadh wa kujadili ujenzi na mustakabali wa Gaza. Donald Trump awaomba Putin na Zelensky kukutana na Mkutano wa G20 wa mawaziri wa mambo ya nje wamalizika.