Hamas na Israel wabadilishana mateka na wafungwa. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema Ulaya inaweza kufanya mengi kuhakikisha amani kwa Ukraine. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio na Rais wa Kenya William Ruto watoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa Kongo.