Mashambulizi ya risasi ya Israel yawaua watu 93 katika Ukanda wa Gaza. Hali ya utulivu yashuhudiwa Syria huku vifo vifikia 1,120 katika eneo la kusini mwa nchi hiyo. Na Ukraine yaripoti makabiliano zaidi ya 100 na Urusi katika eneo lake la mashariki.