Mataifa zaidi ya 20 ulimwenguni yametowa wito hivi leo wa kusitishwa mara moja kwa vita katika Ukanda wa Gaza+++Urusi imesema inashughulikia suala la tarehe ya kufanyika mazungumzo ya duru ya tatu na Ukraine+++Kenya imefutilia mbali mashtaka ya ugaidi dhidi ya mwanaharakati mashuhuri nchini humo Boniface Mwangi