Jeshi la Israel lasema limemuuwa mratibu wa Iran na Hamas. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi awasili Istanbul kushiriki mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu OIC. Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel aunga mkono haki ya Israel kujilinda.