Mamia ya watu wakusanyika mjini Hong Kong kufanya maandamano mapya dhidi ya muswada tata wa sheria. Iran imesema mabaki ya ndege ya jeshi la Marekani yamepatikana kwenye eneo lake la bahari. Baraza la Seneti la Marekani lazuia mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia