Israel yakataa shinikizo la Umoja wa Ulaya kuhusu Gaza. Marekani yaitarajia Urusi kuwasilisha mapendekezo yake ya kusitisha mapigano Ukraine. Na Waziri mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Augustin Matata Ponyo ahukumiwa kifungo cha miaka kumi jela