Mzozo kati ya Israel na Hamas wapamba moto, huku pande hizo mbili zikishambuliana. Rais wa Marekani amesema nchi yake inatarajia kusaini mkataba wa madini na Ukraine. Maandamano yenye vurugu yashuhudiwa Uturuki kudai kuachiwa kwa kiongozi mkuu wa upinzani na Meya wa mji wa Istanbul.