Serikali ya Israel mapema leo imeidhinisha kwa kauli moja pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kumuachisha kazi mkuu wa shirika la intelijensia ya ndani, Ronen Bar+++Kirsty Coventry amechaguliwa kuwa rais wa kwanza wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki IOC na kuwa mwanamke wa kwanza na pia mwafrika kupata kazi hiyo.