Uwanja wa ndege wa Heathrow umefungwa kabisa hivi leo kufuatia umeme kupotea kwa sababu ya moto uliozuka katika kituo kidogo cha umeme magharibi mwa London+++Taifa la Kusini mwa Afrika la Namibia leo limemuapisha rais wake wa kwanza mwanamke Netumbo Nandi-Ndaitwah, aliyeshinda uchaguzi mwaka jana na kurefusha muda wa miaka 35 wa chama tawala cha SWAPO mamlakani.