Mkutano mkuu wa chama cha Democratic unaofanyika mjini Chicago Marekani unaingia siku ya pili hii leo. Rais mstaafu Barack Obama, ambaye ni mmoja kati ya viongozi wenye ushawishi ndani ya chama hicho anatarajiwa pia kuhutubia mkutano huo+++Shirika la Afya Duniani, WHO limesema kuwa homa ya nyani, mpox sio janga jingine jipya kama ilivyokuwa COVID-19