Viongozi wa Ufaransa na Marekani watafanya mazungumzo kuhusu mzozo wa mauzo ya nyambizi za kijeshi.
Kiongozi wa kanisa katoliki amewarai waumini kutoa kutoa kipaumbele kwa wahanga wa udhalilishaji unaofanywa na baadhi ya makasisi.
Bondia Manny Pacquiao ametangaza kuwania kiti cha urais nchini Ufilipino