Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa China Xi Jinping wamezungumza kwa njia ya simu na kulaani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran / Wakazi wa mkoa wa Mwanza na mikoa ya Jirani nchini Tanzania, wameshuhudia tukio la kihistoria la uzinduzi wa darala la JP Magufuli Kigongo-Busisi