Rais wa Marekani Donald Trump kuzungumza na rais Vladmir Putin wa Urusi kuhusu usitishaji mapigano Ukraine. Israel yatangaza operesheni ya ardhini katika Ukanda wa Gaza na upelekaji wa msaada. Na Wakili na mgombea urais wa zamani wa Kenya, Martha Karua, afukuzwa kutoka Tanzania.