Matangazo
Miongoni mwa yaliyomo kwenye habari za ulimwengu:
Mwanasiasa wa Ujerumani Martin Schulz atarajiwa kutangazwa leo kama mgombea rasmi wa ukansela dhidi ya Angela Merkel katika uchaguzi wa mwezi Septemba mwaka huu// Rais wa China Xi Jinping na waziri wa nchi za nje wa Marekani Rex Tillerson wameahidi kuimarisha ushirikiano// Korea ya Kaskazini imefanyia jaribio injini mpya yenye nguvu zaidi ya kurusha roketi