Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Humphrey Polepole aliachia wadhifa huo akisema haridhishwi na mwenendo wa serikali ya sasa ya chama chake cha CCM / Idara ya polisi ya Kenya imeongoza kwa ufisadi nchini humo kwa kupata alama ya kutisha ya wastani wa 84 kati ya 100 kulingana na ripoti mpya ya shirika la kupambana na ufisadi ulimwenguni, Transparency International