Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, amefanya ziara ya siku moja nchini Uingereza ikiwa ni ziara ya kwanza nchini humo tangu alipoingia madarakani mnamo mwezi Mei / Miaka mia moja tangu Adolf Hitler achapishe andiko lake la chuki la "Mein Kampf" au "Mapambano Yangu" Julai 18 1925