Kiongozi mkuu wa Iran, Ali Khamenei ameukataa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa kujisalimisha huku akionya uingiliaji wa Marekani katika mzozo huo utasababisha madhara// Mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi kwenye maandamano anashusha pumzi baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa risasi kichwani // Rais Evariste Ndayishimiye leo anaadhimisha miaka 5 tangu kuiongoza Burundi.