Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Syria imetangaza kuwa jeshi lake limeanza kuondoka katika eneo lililokumbwa na machafuko la Sweida jana Jumatano / Serikali ya Tanzania na Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) zimesaini mikataba mitatu ya misaada yenye thamani ya Euro milioni 25.68 (sawa na shilingi za Tanzania bilioni 78.58)