Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba kampeni yake dhidi ya Iran "itabadili sura ya Mashariki ya Kati", wakati nchi hizo mbili zikiendelea kushambuliana vikali / Tanzania inajikwamua kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu